kama wewe ni mwanaume unatakiwa kujua kuwa kwenye maisha kuna kitu ukikikosa kinasababisha automatic ukose na kingine
Yaani mfano kama haujasoma basi automatic huwezi ajiriwa serikalini maana serikali inaajiri wasomi tu
Hivyo ndivyo ilivyo hata kwenye mapenzi kwa mwanaume Ukikosa pesa basi jua na Mapenzi yamesha kukataa
Usitumie nguvu nyingi kutafuta mapenzi ila tumia nguvu nyingi kutafuta pesa
Maana kuna kimoja lazima kianze ndipo kingine kifuatie sasa wewe ukilazimisha mapenzi yaanze bila pesa tutakuja kukuzika broo
Na wanaolazimisha mapenzi yaanze badala ya pesa hawa ndo utakutaga hawaendelei maishani mwao
maana pesa zote wanafanyia mapenzi akipata tu zinapitiliza, maana hawa dada zetu skuizi hawawezi kuishi bila pesa
Usipo mpa ujue umempoteza kunajamaa taratibuu anaanza kujichukulia mchumba
Any way ndo naamka hapa nikaona niwasalimie wanaume wote nakukumbusha ile ofa ya kitabu cha MAPENZI NJE YA KITANDA
bado inaendelea njoo whatsapp andika neno KITABU na nitakupa maelekezo
𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢
🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊
✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇
𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑
𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀
𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄
𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀
𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)
𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮
𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™



