KWANINI MWANAUME ANAPOTEZA HAMU NA WEWE

Je Umeshawai tokewa na hii? unaweza ukawa unatongozwa na jamaa furani anaonyesha anakupenda

 Na anatumia nguvu zote,ili kuhakikisha anakuwa karibu na wewe inafika stage hata usipomjibu sms zake analalamika na kuonyesha anaumia Sanaa

Anatumia mpaka marafiki zako kukufikia pindi ukiwa hupatikani baadaye unaamua tu umkubalie ili muingie kwenye mahusiano

 Mwanzo anakuwa kijana mzuri tuna anaonekana bado ana ule moyo wa kukupenda 

 Ila cha kushangaza ukisha mpa game moja tu unaanza kumwona kama hana hamu ya kuwa na wewe unaanza anaanza kukuona kama msumbufu hivi

Mpaka unaanza kujiuliza hivi sio yeye aliye kuwa anachanganyikiwa kwaajiri yangu? aliyenitafuta kwa nguvu zake zote mpaka akanipata

Ikifika hatua hii wengi hujiona wamechezewa na kuachwa No! Hajakuchezea 

Leo nakukaribisha katika kitabu changu kizuri cha saikolojia ya mapenzi utaenda kujifunza huwa kina kuwa nini hiki

Na jinsi gani unaweza kukitambua  

Ili kujifunza haya na mengine megi zaidi karibu ujipatie kitabu chako kidogo, Soft copy (E_Book)

𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢
🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊

✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇 

 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑

𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀   

𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄  

𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀   

𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)

 𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲 
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 
𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™

Tags