SIKU YA WANAUME DUNIANI



Wanaume leo ni siku ya kuadhimisha na kutambua mchango wenu katika jamii

Na katika siku hii naomba niongee kitu kimoja tu, ambacho nakiona ni cha muhimu sana

Wewe kama mwanaume hasa kwa wale walio kwenye ndoa nakuomba sana usije ukatumia njia ya kumzira mpenzi wako au kumkatia tamaa kama ndio suruhisho lako

Wewe ndio baba na ndio kiongozi akili za wanawake hazijakamilika na kuna muda huwa zinaondoka pamoja na dam ya period

Mwanamke anaweza akafanya kitu ambacho hata ukiwambia watu wanaanza kumshangaa lakini hapo hapo anakitetea na kukiona kipo sawa

Inatia hasira sana mwanamke anapofanya jambo la kijinga, alafu hataki kukubari kuwa kakosea badala yake anakaa akitafuta sababu za kulifanya lionekane kuwa ni jema

Najua tunapindita magumu mengi lakini katika yote usisahau kuwa huyo ni mkeo na hakuna cha kubadiri hilo na ubaya zaidi wanawake kadri anavyozidi kukua ndivyo anazidi kuamka kiakili

Hivyo amini huyo mwanamke uliyenaye leo kweli akili yake haijatulia lakini akishafika stage ya kuwa mama na kuwaza maisha yake na watoto wake utamfurahia atatulia kama sio yeye 

Ukimkatia tamaa leo na kuanza kumuumiza au ukaamua kumuacha kuna siku utakuja kutamani kurudi maana utaonakabadirika kawa sio yule uliyekuwaunamjua

Tuna mifano ya wazee wetu ambao waliwaacha mama zetu kwasababu ya mapungufu yao lakini baada ya umri furani walitamani sana kurudi maana waliona jinsi mama zetu walivyo kuwa mama bora lakini walifanya maamuzi kipindi hicho ambacho mama zetu ni kweli walikua na mapungufu 

Tusirudie kufanya makosa kama haya kumbuka wewe ni baba wewe ni kiongozi wa familia 

Na mwanamkee unaeisoma hii mkumbushe mpenzi wako kuwa asikuzile wala kukukatia tamaa wewe ni mama bora sana ila mlivyoumbwa ndio tatizo ila kuna siku utakuja kuwa mama bora sana

𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢

🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊


✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇 

 https://whatsapp.com/channel/0029VaDURtaHFxP7IBxQOi36


 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑

𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀   

𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄  

𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀  

𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)

 𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲 

𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 

𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™