MAUMIVU YA MAPENZI



Maumivu Ya Mapenzi Bhana Yaani Acha Tu............

Yaaani Hata Siku Moja Hayawezi Kukutesa Mchana 

Yaani Mchana Hayaji Tena Yanajifanya Kama Hayapo Vileee.....

Yanasubili Kajua Kaanze Kuzama Kagiza Kidogo KaingieYanaanza Kuja Taratiiibu Ila Ikifika Usiku Sasa Ndo Yanaanza Kukupelekea Moto😄😄

Yaani Tu Utaelewa Kama Mapenzi Yanauma Ama Vipi

Kausingizi Kanasepa Kabisa, Kila Ukiutafuta Waapi, 

Kuna Muda Kanakuja Kaakili Kanakuambia Umtafute Mpenzi Wako Ila Unagundua Ulimuahidi Hutokuja Kumtafuta Tena, Kanafsi Kanasita........

Yaani Kila Unachofanya Hakieleweki, Unaweza Ata Mtafuta Rafiki Ako Wa Karibu Upige Nae Story Ila Ukikata Simu Tu Moto Ni Ulele Ule......😂😂

Kila Unapogusa Hapagusiki Ilimradi Tu Uteseke😄😄😄

Alafu Sasa kuwe na kamvua ndo yanaweza yakakuua kabisa maana kabaridi kale Usingizi huna kichwani amejaa yeye tu

Ubaya zaidi unasema ngoja niingie zangu online nitoe strees Unakuta kapost bonge la picha dadeq 😆 😆

Unatamani uanze kulia ila unajikaza unajiambia mi siwezi lia kisa mapenzi

All in all kumove on ni kazi ngumu sana usione mtu anakushauli kuwa wewe move on mbona mi niliweza...

Hujui cha moto ndomana ila ungekuwa unajua usingejaribu

Kumove on ni sawa na kupanda juu ya ghorofa alafu unaanza kutafuta ujasiri wa kujirusha chini na ndio maana wachache tu huwa wanafanikiwa

Mwingine anajikaza anashindwa anamtafuta tu mpenzi wake wanazagamuana yanaisha alafu anaanza kujiona mjinga tena 😅 😅 Yaani mateso hayaishi

𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢

🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊


✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇 

 https://whatsapp.com/channel/0029VaDURtaHFxP7IBxQOi36


 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑

𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀   

𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄  

𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀  

𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)

 𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲 

𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 

𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™

Tags