HUPENDI KUWA MASIKINI SOMA HII



Watu wengi Wanajiskia vibaya sana kuwa maskini Lakini ukweli ni kwamba
.....Umaskini hauna chochote cha kufanya kwenye kujiskia kwetu we jiskie vibaya tu lakini ukishamaliza Utaukuta Umaskini upo pale pale 

.....What the solution (Nini cha kufanya) !!!!!!,

....Make sure you have a plans, Yeah Hakikisha unamipango na sio mpango hakikisha mipango ipo mingi manaake tunajumuisha na plan B hapo 👍

...Cha pili hakikisha unafanya kazi haijalishi ni kazi ya aina gan as long as una pata kipato we fanya usikae bure kisa hujapata kazi ya hadhi yako😉

.....Tatu Badirisha mfumo wa maisha yako, hapa anza na marafiki zako angalia wale ambao hawakujengi wafutilie mbali wotee,

 then ingia kwenye mitandao yako ya kijamii Unfollow viumbe wote ambao wanakutia ujinga wafollow watu ambao wanapost content zitakazokupa kukua mfano Kina
@Olenga Love Hub
@Joel Nanauka
@Izak Nsumba
@Kelvin Kibenje
@Kaka milton tunge
@Madam finance

Na wengine wengi

.......Cha mwisho Usiache kujifunza hakikisha unajifunza skills mbali mbali kwenye maisha yako ili iwe rahisi kuziaply kila unapopata nafasi

𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢
🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊

✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇 

 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑

𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀   

𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄  

𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀  

𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)



 𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲 
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮 
𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™