UMUHIMU WA KUWEKA MALENGO


....Kuna msemo unasema Kama hujui unapoelekea Basi njia yoyote kwako ni sahihi

....Na wala hakuna ambaye atakwambia kuwa umepotea ⬇️

...Mtu anayeishi bila malengo ni sawa kabisa na mtu ambaye hajui wapi anakwenda ila anasafiri, Unaishi ila haujui kwanini unaishi nini unachokitafuta cha maana kwenye maisha yako ??


Maisha ni kama maji, Maji ukiyamwaga chini bila kuyachimbia msingi basi yenyewe yataelekea kila pande, lakini ukichimba msingi alafu ukayamwaga basi yataelekea kule ambako wewe umeuelekeza msingi wako


Ni sawa kabisa na maisha yetu, Malengo ni kama msingi ambo unaongoza maisha yetu kuelekea kule ambako sisi tunataka kufika, na mtu asipokuwa na malengo basi maisha yake  yatakuwa kama maji yasiyo na msingi  hayana uelekeo maalum

.....Mtu wa aina hii yeye huwa anafanya chochote kile kitakachomjia kichwani na anabadirisha badirisha vitu vya kufanya kutokana na mazingira na vile anavyojiskia lakini sio kwasababu ya mipango yake  kwasababu hana mpango maalum ambao amejiwekea kwaajili ya kuutekeleza

.... Hapa nazungumza na kundi kubwa la Vijana ambao kazi yao ni kuzurula tu na wakiulizwa unataka kufanya nini Majibu yao utaskia nataka kufanya biasharaaa ukiskia hilo jibu ogopa 😂😂

......Muulize unataka kufanya biashara gani na wapi utafanyia hiyo biashara?Hiyo biashara inagharimu kiasi gani mpaka kuanza??? Hapo ndo utajua jibu la bishara ni jibu ambalo vijana wengi tunalo kichwani ila hata hatujui biashara ni nini 😂😂

...Nataka kufanya nini?
...Nataka kuwa nani?
...Nataka kufika wapi?

Haya maswali ni muhimu sana kujiuliza na Ukipata majibu nakushauri uyaandike Malengo yako usiseme utayashika kichwani kichwa nacho kina mambo mengi siku utashangaa hata hukumbuki ulikuwa unapanga kufanya nini

𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢
🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊

✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇

𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑

𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀  

𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄 

𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀  

𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)


𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮
𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™
Tags