Hata kama umekipata kile ulichokipenda ila itakuwa ni kama umefanya mabadirishano na dunia
Dunia imekupa ulichokuwa unakitaka kisha imechukua Furaha na amani ya maisha yako
Watu wengi hujiuliza kwanini wadada wengi kabla hawajaingia kwenye mahusiano kigezo chao kikubwa huwa PESA
na baada ya kuingia kwenye mahusiano na mtu mwenye pesa wanaanza kuona ni manyanyaso na wengine huomba taraka
Jibu ni kwamba kweli walikua wanataka pesa lakini, kigezo cha pesa pekee hakitoshi kukitumia kufanya maamuzi tutakayo yaishi maisha yetu yote
Ni vyema kuzingatia vigezo vingine vya msingi ili kufanya maamuzi ambayo, yatakuwa yananafuu kwetu siku za mbeleni hasa pale ambapo kigezo kimoja hakitafanya kazi
𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢
🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊
✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇
https://whatsapp.com/channel/0029VaDURtaHFxP7IBxQOi36
𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑
𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀
𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄
𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀
𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)
𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮



