Huwezi kumfanya mke Mwanamke Ambaye bado Anapenda Kuonekana kwa wanaume wengine
Naposema "huwezi mfanya mke"Simaanishi kwamba huwezi kumuoa Inawezekana kabisa ukamuoa ila naomba uelewe kwamba kuolewa na kuwa mke haya ni mambo mawili tofauti kabisa
Na ndio maana kama huwa unaskia kuwa kuna baadhi ya wanawake wameolewa wamezaa na watoto lakini tabia zao ni kama mabinti wa chuo Siwasemi kwa ubaya mabinti wa chuo ila kuna zile tabia ambazo zinaenda na umri wa mtu akifika level furani anatakiwa kuziacha
Lakini Mwanamke huyu ambaye ataolewa au Utamuoa broo! hawezi acha hizi tabia kwasababu bado hajawa mke ila wewe ndo umeamua kumuoa na kama unakumbuka nilishawai kusema kuwa ni Mwanaume na Mwanamke tu ndio wanapaswa kuingia kwenye ndoa
Mwanamke ambaye bado anataka kuonekana kwa wanaume wwngine huyu bado ni msichana hajafika level ya kuwa mke anahitaji kukua kiakili kutambua kuwa hawezi miliki kila mwanaume anaye mtaka
Hali hii inatokea kwasababu mwanamke akishaolewa anatakiwa kujua kuwa kuna kitu kimebadilika kwenye maisha yake anatakiwa kujua kuwa amehama kundi
hivyo anatakiwa kubadilisha mazingira, marafiki pamoja na tabia zake ili kuendana na hali mpya ya ndoa Lakini kama umeoa msichana yeye hawezi kuona kama kuna kitu kimebadirika yeye ataona badala ya kulala pekeyake amepata wa kulala naye basii hayo mengine utajua wewe
Na uhalisia wa watu wa aina hii kwanza huwa hawapendi kabisa kuskia kitu kinaitwa kubadilika na ukimwambia tu atakujibu ulimkuta vile vile na ukampenda mpaka kumuoa sasa kwanini unataka abadirike na unatakiwa uvumilie broo maana ndio safari ya maisha hiyo ushaanza
Ila mambo ukiona hayaeleweki usisahau ile kauli yangu kwamba
"Ukiwa safarini popote pale ukigundua umepotea unakotaka kwenda, usiogope kugeuza na kuanza upya safari yako maana kuanza upya ni bora kuliko kwenda safari ambayo hautafika unapopataka"
𝐃𝐚𝐫𝐚𝐬𝐚 𝐥𝐢𝐦𝐞𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐇𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐢
🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊 🎊
✅ 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐎𝐌𝐎 𝐘𝐀𝐋𝐈𝐘𝐎𝐏𝐈𝐓𝐀 𝗙𝗢𝗟𝗟𝗢𝗪 𝗪𝗛𝗔𝗧𝗦𝗔𝗣𝗣 👇👇👇
𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐈𝐋𝐈𝐕𝐘𝐎 𝐍𝐀 𝐎𝐅𝐅𝐄𝐑
𝟏. 𝐌𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐍𝐉𝐄 𝐘𝐀 𝐊𝐈𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀
𝟐. 𝐒𝐓𝐘𝐋𝐄 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐀𝐏𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀𝐍𝐄𝐍𝐄
𝟑 𝐁𝐀𝐑𝐔𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐌𝐖𝐀𝐍𝐀𝐌𝐊𝐄 𝐀𝐌𝐁𝐀𝐘𝐄 𝐇𝐀𝐉𝐀𝐎𝐋𝐄𝐖𝐀
𝐍𝐁: 𝐕𝐈𝐓𝐀𝐁𝐔 𝐕𝐘𝐎𝐓𝐄 𝐍𝐈 𝐒𝐎𝐅𝐓 𝐂𝐎𝐏𝐘 (𝐄_𝐛𝐨𝐨𝐤𝐬)
𝗜𝘁𝘀 𝗺𝗲
𝗠𝗮𝘁𝗵𝗮𝘆𝗼 𝗦𝗮𝗻𝗴𝗮
𝗠𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺 𝘄𝗮 𝐌𝗮𝗽𝗲𝗻𝘇𝗶, 𝐌𝗮𝗵𝘂𝘀𝗶𝗮𝗻𝗼 𝐧𝐚 𝐌𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝘆𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮™



